RSS

Jubilee haina nia ya kuukabili ufisadi serikalini!

05 Aug

Tongola Mate

hussler-jet

Na Mate Tongola

NAIROBI, KENYA, Baada ya mjadala uliochukua miezi 15, hatimaye Bunge la taifa limetupilia mbali ripoti ya kamati ya bunge kuhusu uhasibu, PAC iliyopendekeza mkuu wa wafanyakazi katika ofisi ya naibu wa rais, Marianne Kitany, na maafisa wengine wanne kuchunguzwa kwa kukodishwa kwa ndege ya binafsi iliyotumika na William Ruto kuzuru mataifa matano ya bara Afrika mwaka 2013.

Wabunge wa mrengo wa Jubilee waliungana na kuipinga ripoti hiyo ambayo ilipendekeza Tume ya Maadili na kukabili ufisadi, EACC kumchunguza Kitany, karani Abdullahi Mwasera, afisa wa fedha Paul Kamau na waliokuwa maafisa wa ununuzi wa mali ya umma katika ofisi ya Ruto Evans Nyachio na Simon Okoth kuhusu kukodishwa kwa ndege hiyo, al maaruf Hustler’s Jet.

Kwenye ziara hiyo ya mwezi Mei, Ruto na ujumbe wake walizuru mataifa ya Nigeria, Congo, Gabon na Ghana wakitafuta uungwaji mkono wa kusitishwa kwa kesi dhidi yake katika mahakama ya ICC pamoja na iliyokuwa ikimkabili…

View original post 23 more words

 
Leave a comment

Posted by on August 5, 2015 in General News

 

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s

 
%d bloggers like this: